Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2013

    Kozi za ngazi ya stashahada?

    Nyie watu wa Wizara ya Afya, vipi "Stashahada Ufundi Sanifu viungo bandia' hivi hii kozi haipo chini ya MOH?

    Ama ni yaleyale "Unakaa ndani ya nyumba bali hujui waliomo?

    Vijana wa Tanzania wana haki ya kusoma fani hii pia, yaani "Diploma in Orthopaedic Technologist"

    Wizara ya Afya Amkeni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...