Mhe. Spika, Anne Makinda akiwa na Mama Maria Nyerere, Waziri Mkuu Mstaafu, Ndg. John Samweli Malecela na Balozi wa Tz nchini Ug, Ndg. Komba Wakisubiria kuanza kwa ibada hiyo maalumu iliyofanyika Juni 1, Namgongo, nchini Uganda.
Mhe. Spika katika picha ya pamoja na mgeni rasmi na Viongozi wa kanisa hilo
Mhe. Spika akiwa na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika
Mashariki, Mhe. Margaret Nantongo Zziwa, baada ya kupanda miti ya kumbukumbu.
Mhe. Spika akishiriki ibada hiyo maalumu iliyofanyika Namgongo nchini Uganda, pembeni yake ni Waziri wa Nchi ya Uganda, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi maalumu, Bi. Tarsis Kabwegyele na Mama Maria Nyerere.
nyerere! nyerere! nyerere tumechoka sasa ah!
ReplyDeleteHivi nchi hakuna mambo mengine zaidi ya nyerere?!
data nzuri kwa sisi wenye fikra.
ReplyDeleteTANU ilianza mwaka 54, nani aliyeanzisha MWALIMU NYERERE, amba TANU hiyoo hiyoo hiyoo.
ReplyDeleteNdugu Julius Kambarage Nyerere, si kama tu ni kiongozi mkuu wa mapinduzi, bali pia ni mwalimu.....
NYERERE NYERERE NYERERE NYERERE OYEEEEEEEE.