Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2013

    Naona ankal leo umetukumbuka na sisi watu wa uswazi. Kila siku unatuwekea miziki yenu ya ki-brazamen; sijui bonny em; boyz 2 men; n.k.

    kudoz ankal

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2013

    Kamanda wa FFU upo ? mnanda huo najua unakukumbusha uswahilini kwenu kariakoo,mnanda ukifunga mtaa kariakoo na vibaka wanakaba.
    Ankal Michuzi hii najua ni kuwakumbusha watoto wakariakoo wenzio

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...