Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2013

    Heee Abaa (rafiki) leo umenikumbusha mbali na 'nsewe' wa kwetu.

    Nyimbo inakwenda hivi:

    'halindwa nke halindwa, halindwa hata aolewe'

    Yaani mwanamke halindwi hata kama ameolewa.

    Na nsewe ukinoga basi pepo hupanda kichwani.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 07, 2013

    Eeeeee samahani siyo msewe ni ngoma ya gonga (imebadilishwa kidogo) au kyaso. Lakini inatoka Pemba.

    Kucheza bila ya jasho.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 07, 2013

    We unajua samahani inakosemwa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...