Pichani kushoto bw Ladslaus Kyaruzi Afisa mazingira Mwandamizi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais kulia Bi Fauzia Mwita kutoka ofisi ya mazingira Zanzibar wakibadilishana mawazo baada ya mkutano wa kundi la Afrika katika mkutano wa mbadiliko ya tabia nchi unaoendela mjini Bonn Ujerumani..(picha na Evelyn Mkokoi)
Home
Unlabelled
mkutano wa kundi la Afrika katika mkutano wa mbadiliko ya tabia nchi waendela mjini Bonn Ujerumani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kwa safari hizi za climate change nimemvulia kofia Eng.Kyaruz!
ReplyDelete