Mwakilishi wa Spika wa Bunge ambaye pia ni Kamishna na Mbunge wa Mafia Mhe. Abdul Karim Shah akitoa salamu za rambirambi wakati wa mazishi ya Afisa Habari Mkuu wa Bunge marehemu Ernest Zulu yaliyofanyika katika kijiji cha Ndilima, Peramiho mkoani Songea.
 Mwakilishi wa Katibu wa Bunge ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa Ndugu Jossey Mwakasyuka akisoma wasifu wa marehemu Ernest Zulu.
 Katibu wa Bunge Mstaafu Mzee George Mlawa  akitoa salamu za rambirambi
 Baada ya salamu hizo, ndipo Padre Fidelis Mligo wa Abisiya ya Peramiho akaongoza ibada ya Misa Takatifu na mazishi ya mtumishi huyo wa Bunge
 Mkuu wa Wilaya ya Songea Ndugu Joseph Mkirikiti  (wa pili kushoto waliokaa) aliiwakilisha serikali katika mazishi hayo.
 Waombolezaji kutoka Ofisi ya Bunge
    Dada yake marehemu akiwa amepoteza fahamu wakati wa mazishi ya kaka yake.
Mwakilishi wa Spika wa Bunge Mhe. Abdul Karim Shah akiweka udongo kaburini kuashiria safari ya mwisho ya Afisa Habari Mkuu wa Bunge marehemu Ernest Zulu. Picha zote Prosper Minja - Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...