Na Abdulaziz Video
Shindano la kumsaka Mwenye kipaji kwa wasanii wasiosikika kanda ya
Kusini limefanyika Usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa NR Resorts, Nachingwea. Jumla
ya washiriki 26 toka Lindi,Masasi,Mtwara,Ruangwa,Liwale na Nachingwea.
Shindano hilo ambalo limeandaliwa na Ernest Nyambina wa Nr Resorts
linaendeshwa chini ya Msema Chochote Fadhili Liwaka(MC Liwaka) ambae
pia ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM.
Wasanii wakionesha vipaji
Msanii akiwa katika miondoko ya kusini
Meza kuu ikifuatilia mpambano huo
Mashabiki kibao
Nyota wa Kusini akisakwa kwa udi na uvumba
Juu na chini ni washindani katika mpambano huo
Unajua jana jioni nilikuwa naangalia kipidi cha televizioni hapa UKerewe,na kilikuwa ni mashindano ya Britain Has Talent. Nikawaza hivi hipi usakaji wa talent huko bongo. And today I see this.
ReplyDeleteUNCLE NAOMBA HIZI PICHA UZISAVE KTK KABRASHA LAKO, UNAONA SASA HVI WALIVYO?? ANGALIA BAADEN WAKIFANIKIWA UTAKUTA WAMEVAA MLEGEZO, FULL KUBANA PUA NA KUWEKA HERENI. HAHAHAHA
ReplyDeleteMeza kuu mmetisha...
ReplyDelete