Sanduku lenye Mwili wa msanii bongofleva,Marehemu Albert Mangwea ukishushwa kaburini taratibu na waombolezaji,ndugu jamaa na marafiki jioni ya leo kwenye makaburi ya Kihonda nje kidogo ya Mji wa Morogoro,ambapo maelfu ya watu walishuhudia mazishi hayo yaliyovunja rekodi mkoani humo.


Eeneo la Mazishi likiendelea kama lionekanavyo kwa mbaali.
 Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakirekodi yaliyokuwa yakijiri kwenye mazishi hayo.
 Ibada ya mazishi ikiendelea kabla ya sanduku la marehemu Albert Mangwea kushushwa kaburini. Na pichani chini ni baadhi ya watu wakianza kuondoka sehemu ya mazishi.
 PICHA ZAIDI BOFYA MICHUZIJR.BLOGSPOT.COM.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...