Naibu Spika wa Bunge, Mhe Job Ndugai akiongoza kikao cha Wabunge wa nchi za Afrika, Carribbean na Pacific(ACP) katika Mkutano unaoendelea Brussels, Ubelgiji.Mhe Ndugai ni Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Jamii na Mazingira.Wabunge wa Nchi za ACP zina umoja wao wa kujadili masuala ya pamoja yanayowahusu na yenye maslahi kwa wananchi wao na wana umoja ambao hujadiliana na Wabunge wa Jumuiya ya Ulaya ili kufikia muafaka.Katika Mkutano huo Tanzania inawakilishwa pia na Mhe.Mussa Azzan Zungu na Mhe Dr Mary Mwanjelwa.picha na Saidi Yakubu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2013

    Ndugai atawacharaza viboko. Huyu mzee kwa hasira hafai. hicho kikao wakae macho

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...