President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete meets and hold talks with Sir. Richard Branson in London this evening . Sir.Richard is a British business magnate best known as the founder and chairman of Virgin Group of more than 400 companies. President Kikwete is in London UK for a three days working visit in which, among other things, he will attend the G8 summit.
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete and his delegation in conversation with The Chairman of Virgin Group of Companies Sir. Richard Branson in London this evening. Others in the picture are from left are Minister for Transport Dr. Harrison Mwakyembe, Tanzania Tourist Board Managing Director Dr.Aloyce Nzuki, President’s advisor Economic Affairs Dr.Hamis Mwinyimvua and Tanzanian High Commissioner to the United Kingdom Peter Kallaghe(photos by Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2013

    Jamaa ana "dengriz" tai kasahau, mjanja nani???

    ReplyDelete
    Replies
    1. AnonymousJune 15, 2013

      Wewe asiyevaa dungarees, anayekumbuka tai unamzidi nini. Asiyejua maan haambiwi maana. Mbona Rais hajakutafuta? akili nymgi huondoa maarifa!

      Delete
  2. AnonymousJune 15, 2013

    Ukiwa Bilionea unaweza kuringa hivyo, bila tai wala nini. Hapa viongozi wetu ndio tunambomba aje kufanya biashara kwetu.

    ReplyDelete
  3. Mikausho MikaliJune 15, 2013

    Kama ndo dili la kuileta Virgin Altalantic Wakumbuke jambo moja.Serikali ya Uingereza ilegeze masharti ya VISA.Yaani mambo ya transit yawe free tu.Watu ambao wangeweza kupita UK wakienda kwingine ni wengi lakini inakwamishwa na ugumu hata wa kupita jamani.BA ilikosa abiria kwa sababu hiyo

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 15, 2013

    Virgin for East Africa...Yes!!!
    Please Sir Richard Branson, give us more options than just Emirates and Qatar Airlines, and horrible KLM or overpriced Swiss Air. I hope he steps in where British Airways left off.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 15, 2013

    Mdau wqa Kwanza,

    Mtu anapokuwa Genius sana anakuwa sio Bishoo!

    Mwangalie Albert Einstein MGUNDUZI WA MABOMU YA ATOMIC NA NUCLEAR, ni mara chache sana utaona ktk picha amevaa suti na mara zote picha zake huonekana kichwa timtim akiwa hajachana nywele!

    Usione ajabu Sir. Richard Branson akiwa amevaa denriz huku akiwa kusahau kuvaa tai.

    Mara nyingi watu wenye kuwa na vichwa vinavyo fanya kazi na AKILI NYINGI mara zote hawana muda KABISA na mambo ya mawanawake na Ubitozi!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 15, 2013

    Mhe. Raisi Kikwete MWALIKE 'THINK TANK PANELIST' Richard Branson ili aje awape Watanzania uwezo wa kufikiri na kuunda Mipango ya kibiashara yenye Tija.

    Ni janga kubwa sana tulilo nalo la uwezo wa chini wa Kufikiri na kuchzgua Vipaumbele kwa wengi wa Watanzania ktk shughuli zetu na maisha ya kiujumla.

    WENGI WA WATANZANIA UWEZO WA MAWAZO YA KIUJASIRIAMALI UPO CHINI SANA.

    Mhe.Richard Branson anahesabika kama mtu mmojawapo Duniani mwenye mawazo yanayoona mbali sana na yenye TIJA kama mnavyoona ameweza kuunda na kumiliki Makampuni YENYE TIJA zaidi ya 400 chini ya Mwamvuli wa VIRGIN ATLANTIC GROUP.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 15, 2013

    yaani bora ije hiyo virgin atlantic maana tunateseka tokea BA imeondoka jamani Ankal tufikishie ujumbe kwa msela presidaa mwambie atuletee ndege mbadala au vipi afufue ATC, maana tabu tokea BA wameondoka

    ReplyDelete
  8. Dahh nimeipenda hii, Safii sana. Natumaini Rais wetu aliongea ya maana. Na jamaa anaweza kuja kutucheki na kutuletea japo asilimia flani ya maendeleo. Huyo ndo Richard Bronson.. linamahea balaa, Mwanzilishi na mmiliki wa kampuni inaitwa Virgin (Virgin train, Virgin Media nk) na vazi la suti ni la ki magharibi tu hapo Rais Kikwete na wenzie wangetinga mashati ya vitenge au shonlai km za mwalimu wangekubalika tu. Sio kuwa na hela au cheo lazma uvae tai ni mapenzi yako tu!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 15, 2013

    tengenezeni uwanja wenu wa ndege kwanza,ndiyo huyo jamaa akubali kuleta ndege zake

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 15, 2013

    Mjanja yeye mwenye mihela anawachora tu hapo wanavyojigonga wapelekewe ndege Bongo

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 15, 2013

    Nimatumaini yangu kwamba JK ame-discuss kuhusu route ya LHR-DAR na Sir Richard kupitia kampuni yake ya Virgin Atlantic. Tunahitaji sana direct route kati ya miji hizo mbili.. Sidhani kwamba nitaishi kuiona ATCL ikihudumia route hio, labda Fastjet..
    Ali..
    UK.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 15, 2013

    Wewew, 1 – 1 of 1, kwani iliandikwa mbinguni kuwa ni lazima avae kama unavyotaka wewe?

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 16, 2013

    Mdau wa 4 na wa 6, It is axiomatic that in certain meetings one is expected to dress appropriate for that specific meeting, in my opinion Richard disrespect the mipingos leaders as they normally do in a very subtle way,and no buddy I don`t need the president to look for me, I am doing very well in my very own rights.Thank you very much.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...