Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Ujerumani Nchini anayemaliza muda wake Mhe Klaus Peter Brandes mara baada ya kufanya mazungumzo naye Juni 10, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Mhe Dianna Melrose (wa pili kulia) pamoja na maofisa wake wakati walipofika Ikulu Juni 10, 2013,jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza jambo huku akisikilizwa na Balozi wa Uingereza nchini Mhe Dianna Melrose (wa pili kushoto) pamoja na maofisa wake Juni 10, 2013,Ikulu jijini Dar es salaam.Picha na Juma Kengele wa Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...