Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalumu toka kwa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt Donald Kaberuka ulioletwa kwake na mwakilishi mkazi wa Benki hiyo nchini Mhe Tonia Kandiero leo Juni 13, 2013 katika Ikulu Ndogo Dodoma.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mwakilishi mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) hiyo nchini Mhe Tonia Kandiero leo Juni 13, 2013 katika Ikulu Ndogo Dodoma baada ya kupkkea ujumbe maalumu toka kwa Rais wa Benki ya hiyo Dkt Donald Kaberuka.
PICHA NA IKULU
Our President, Hon. JK is smart, brilliant, tolerant, humble & loving! Come 2015 we shall truly miss this good man the country has been blessed with.
ReplyDeleteBig up Mr. President.