Mrembo alieshikilia taji la Redd's Miss
Arusha 2013,Glory Stephen akipungia watu waloingia
kuangalia kinyanganyiro hicho mara baada ya kutangazwa mshindi na nafasi
ya pili ikiwa imeshikiliwa na Nance Mushi
Muaandaaji wa Redd's Miss kanda ya
kaskazini Faustin Mwandago akiwa anawapongez warembo walioshinda
kinyanganyiro cha Arusha na kuwaambia wote waliongia tano bora anawapa
nafasi ya kushiriki kumsaka mrembo wa kanda ya
kaskazini
mgeni Rasmi wa sherehe za kumsaka mlibwende
wa Arusha (Redd's Miss Arusha)John Mongela katikati afisa
utamaduni wa jiji la Arusha akifuatia wa kwanza kulia ni
muaandaaji wa Redd's Miss kanda ya kaskazini Mwandago
Warembo waliongia katika hatua ya tano bora
Redd's miss Arusha wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya
kutanganzwa wa shindi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...