Mkuu wa Wilaya ya Arusha, John Mongella (wa pili kushoto) akimkabidhi mjasiliamali,Veronica Tarimo Mashine ya kusaga vyakula vya kuku wakati wa hafla ya kukabidhi ruzuku za wajasiliwamali wa Safari Lager Wezeshwa kanda ya Kaskazini ilifanyika katika viwanja vya General Tyre Arusha mwishoni mwa wiki.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo na Meneja mauzo wa Kanda ya Kaskazini, Wilderson Kitio.
Mjasiliamali,Judith Tarimo(kushoto) akiangalia zawadi yake mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, John Mongella(wa pili kulia) wakati wa hafla ya kukabidhi ruzuku za wajasiliwamali wa Safari Lager Wezeshwa kanda ya Kaskazini ilifanyika katika viwanja vya General Tyre Arusha mwishoni mwa wiki.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, John Mongella ( kushoto) akimkabidhi mjasiliamali,Joyce Mmali Mashine ya kusaga wakati wa hafla ya kukabidhi ruzuku za wajasiliwamali wa Safari Lager Wezeshwa kanda ya Kaskazini ilifanyika katika viwanja vya General Tyre Arusha mwishoni mwa wiki.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo na Meneja mauzo wa Kanda ya Kaskazini, Wilderson Kitio.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...