Home
Unlabelled
sunday shomary wa idhaa ya kiswahili ya VOA atinga Dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wanafaidi wao tuu ndo maana siku hizi mtu unatakiwa uwe mjanja mjanja unaingia katika sehemu fulani unaruka kila leo bongo na marekani
ReplyDeletenataka kuliza hivi kweli vijana tuliopo hapa home hatujui kujikinga na ngono etc especially sisi wanawake, nauliza hivi kwa sababu nimeshawahi kusoma marekani na naona wasichana wa kimarekani wanaza za ovyoo na pia wanahusudu sana ngono kuliko kitu chochote wasipopata katika wiki yani wanapata wazimu so nashanga nikipima hali niliyoiona nilivyokuwa huko marekani na hali iliyopa hapa nyumani naona wanahitaji sana waelimishwe wamarekani watoto wa kike huko toka nilivyo ishi huko kwa kusoma sijawahi kusikia maandamano ya ukimwi ila maandamano ya cancer ndo kila mara lakini ukimwi upo sana kuliko hata hiyo cancer sema nahisi hawajali kwa vile weusi ndo wanaoteketea nao
ReplyDeletewako double standard serikali yao iwaelimishe wao sio eti sisi kila kitu sisi kwa vile ni nchi masikini inahitaji misada ndo maana
kila la kheri lakini elimisheni huko huko kwenu marekani kulipokubuhu ngono
Si mtakua mmeomba wenyewe. Au wameibuka tu wakajua mna tatizo kwenye eneo hilo wakaona watoe msaada. Afterall hakuna mmarekani aliyekuja kuongea hapo. Sema tu nyie wenyewe hua mna usanii na ujanjaujanja wa kutafuta heal hivyo mnajifanya kuomba grants mnaandika proposal vizuri mkipewa grants mnachakachua.
DeleteMdau wa pili binafsi nimekuelewa vizuri tu nami pia huwa nashangaa sana si tu kwa suala kama hili bali hata mengine yanayohusu sekta zingine huwa wanakuja kwa njia hii ya kusema wanajitolea hali ya kua pengine wala hatuhitaji msaada wa aina hiyo ni ulaghai tu na viini macho wana lao wanalolinyemelea sema tu jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza.Mbaya zaidi nilichokiona ktk video hii ni kutokuwepo kwa njia za watembea kwa miguu au yawezekana zikawepo ila zimezibwa na illegal packing yaani ni risk tupu huko home.
ReplyDelete