Home
Unlabelled
TANGAZO KWA MADAKTARI ,WAFAMASIA , MAAFISA AFYA MAZINGIRA NA MAAFISA WATEKNOLOJIA MAABARA WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI WAKIWABADO WAKO KWENYE MAFUNZO KWA VITENDO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Msaada Tutani.
ReplyDeleteSamahani Ankali naomba huyo Naibu katibu mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii atoe ufafanuzi kuhusu wale wataalamu (Wateknolojia wa Maabara kutoka SUA na Chuo Kikuu cha Dar es salaam, UDSM Mlimani) ambao hawatambuliki na Mabaraza ya Afya ya wizara HAWANA HAKI YA KUAJIRIWA na Serikali yao?
Kwanini hawataki kuwasajili kwenye hayo Mabaraza?
Mtanzania mwenye uchungu.
ReplyDeleteJe hawa wataalam wa maabara kutoka SUA sio ndio wengi wanawaandaa watalam wa maabara kwenye vyuo vilivyoko chini ya wizara ya afya k.mf K.C.M.C.mfundishaji humtambui lakini anayefundishwa unamtambua,jamani! hizi si ndoto za abunuwasi ambazo wizara anawafanyia wasomi wa sayansi za juu.Je huku ndio kukuza uchumi na kupunguza vifo vya watanzania.kituko hiki ni cha kwanza duniani.sijawahi kusikia serikali inawakataa wasomi iliyowasomesha wenyewe kwa vyuo vyake kihalali.je nikisema kuna maslahi na ubinafsi wa watu wachache ndani ya wizara ya afya wanaompotosha waziri wa afya nitakuwa nimekosea?.wasomi changieni hii hoja.