Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Bunge Mhe.
William Lukuvi akipata maelezo kutoka wa Josephine Mwakapugi kuhusu
huduma zipatikanazo katika simu za kiganjani za TTCL "SMART PHONE"
pamoja na punguzo kubwa la bei ya Intarnet kwa simu zenye waya na
zisizotumia waya "wireless".
Waheshimiwa wabunge wakipata maelezo kuhusu mkongo wa taifa wa
mawasiliano.
Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu
akisikiliza maelezo kutoka kwa Bi. Sikitu Mwanakatwe kuhusu huduma
mbalimbali zitolewazo na TTCL.
Naibu waziri wa Nishati na madini Mheshimiwa Steven Masele
akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya kupata maelezo kuhusu
huduma mbalimbali zitolewazo na TTCL.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...