Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2013

    haya sasa ndugu zangu wapenzi wa Liverpool Company Ltd, toeni mapounds mpate the latest uzi na nyie mjidai kwenye mabaa na mtaani huku wenzenu wanatengeneza hela na ajira kwao.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 07, 2013

    Mbona huu uzi zilipendwa. Au ndio munakumbushia enzi zenu za miaka ya 1980s kwa kujifariji. Any haikupaswa kujisumbua kwani hata hizo za mwaka jana poa tu kwa wanaoip1gania nafasi ya 8.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 07, 2013

    Liverpool wanapumulia Mashine Mataji kwao Ni Ndoto,labda hili la Uzi wakiendelea wanaweza kunyakua taji la Fashion show.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 07, 2013

    U will never walk alone, u will walk with sorrow just like last season!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 07, 2013

    uzi kama wa kuchezea kiduku he he hee!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...