Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2013

    kwa haraka haraka,uteuzi wa majaji kuthibitihwa na Bunge nadhani hapo parekebishwe,this will impinge separation of powers and judicial independence.Naendelea kusoma document na nitapeleka maoni katika vikao ambavyo tume imeruhusu,asante.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 03, 2013

    katika hili tume imeonesha kukubali maoni ya wengi, lakini bado haikufuata maoni ya znz kuwa ipate mamlka yake. hata hivo bado tunaimani kubwa na tume.ushirikiano uwepo lakini znz ipate kiti chake U.N
    hapo itakuwa kweli haki imetendeka kabisa.

    ReplyDelete
  3. Muundo wa serikali tatu ni sawa na ilivyo Kanada au USA. Ambapo Provinces au States zinakuwa na serikali zao halafu kunakuwa na Federal Government. Uamuzi huo wa serikali tatu ni wa busara.katika ulinzi Kanada ianakuwa na Polisi wa Federal ambao wao wanawaita Royal Canadian Mountain Police (RCMP) halafu provinces inakuwa na polisi wao ambao wanashughulikia usalama wa raia katika miji mbalimbali. Kama USA FBI wanakuwa na mamlaka zaidi ya state police. Tanzania inaweza kujifunza kutoka nchi hizi ili kuweza kuendesha muungano wake. Tofauti iliyopo ni kuwa kwa sasa Zanzibar inataka kujiona kama ni nchi tofauti yenye Raisi anayetambuliwa kimataifa wake kama Raisi wa Muungano. Mimi naona ili muungano ukomae kuwe na na Raisi mmoja tu wa Muungano kama walivyo USA au Waziri mkuu wa Kanada. Halafu Tanzania Bara na Zanzibar wachague waziri mkuu kiongozi wa kila nchi ambaye atasimamia serikali hizo za Tanzania bara na Zanzibar. Huku kana wanaitwa Premier. Hawa ni watendaji wakubwa sana wa kuendeleza uchumi na kuangalia maslahi ya kila nchi kwa manufaa ya nchi zao, yaani Tanzania Bara na Zanzibar.Hi Kuwa na Maraisi watatu utaleta mvutano usio kuwa na faida.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...