Kaka Michuzi Assalam Alaykum pole na mihangaiko najua hukosi kwenye Pertnership inayoendelea,
Nilikuwa nauza Video mixer ingesaidia sana kwenye mikutano hiii
Roland V8 video mixer ina 8 INPUT CAMERAS na 8 OUTPUT professional imeshinda award ya Olympics 2008.
Panasonic Video mixer -MX50 4 INPUTS CAMERAS
CIMA-YCP -9 Ina 2 IPUTS CAMERAS
Zimejaaa lots of effects ukigoole au youtube hayo majina basi utaziona function zake
Nimeona kwenye Partnership unahangaika na Camera moja tu sasa ukiweza kuunga camera 8 ingekusaidia.
Maelezo zaidi wasiliana na nuramoboy@yahoo.com
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...