Vimwana wa Redd's Miss Temeke 2013,wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa kutangaza kuanza kwa kambi yao pamoja na Mazoezi katika Ukumbu wa TCC,Chang'ombe jijini Dar.Shindano la Redd's Miss Temeke 2013,linatarajiwa kufanyika Julai 5,2013 kwenye Ukumbi wa TCC,Chang'ombe jijini Dar es Salaam.Jumla ya Warembo 15 watachuana siku hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2013

    Mh Michuzi naomba contact za huyu mshiriki wa kwanza kushoto. Mimi nipo UK tayari nimechukua uraia wa mama jana tu, nina mortgage yangu ya vyumba vitatu iliyopo Kent, magari mapya matatu na mshahara £60,000 kwa mwaka.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2013

    Nahitaki mmoja wa kunitoa mawazo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...