Ofisa wa Habari wa Bunge, Owen Mwandumbya akitoa maada wakati wa semina kwa waandishi wa habari za Bunge kwa ajili ya kuwajenga uwezo wa kuandika habari za Bunge iliyoandaliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) iliyofanyika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma
Baadhi ya waandishi wa habari za Bunge wakifuatilia semina hiyo
Mkurugenzi wa Bunge wa habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kamataifa, Jossey Mwakasyuka (kushoto) akiwa kwenye semina ya waandishi wa habari za Bunge.
Mbunge wa Gando (CUF), Khalifa Suleiman Khalifa akitoa maada wakati wa Semina hiyo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...