Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika, akijibu maswali ya wabunge wakati wa semina juu ya wajibu wa kamati za Bunge na Wabunge kupambana na rushwa, Semina iliyoandaliwa na Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na Shirika la Mandeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), iliyofanyika Dodoma juzi.
Mkuu wa Kitivo cha Sanaa na Sayansi ya Jamii(dean of furcuty Arts and Social Science) kutoka chuo Kikuu cha Dodoma, Davis Mwamfupe, akiwakilisha mada kwa Wabunge juu ya wajibu wa kamati za Bunge na Wabunge wa kupambana na rushwa, Semina iliyoandaliwa na Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na Shirika la Mandeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), iliyofanyika Dodoma juzi.
Wapewe pia semina juu ya "anger management"!
ReplyDeleteHAPA SIELEWI WAJAMENI - WANAFUNDISHWA JUU YA RUSHWA - KUWA WALARUSHWA HODARI - KUONGEZA KIWANGO CHA RUSHWA WANAYODAI/KUPOKEA? AU NI KUPAMBANA NA KUEPUKA RUSHWA?
ReplyDeleteMNIFAFANULIE MWENZENU SHULE IMENIPIGA CHENGA