Home
Unlabelled
Wadau wa Haki za Wanyama Mnasemaje kwa hili?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwani kuna tatizo gani hapo?. Maana naona wameweka meza mbele kumkinga na upepo. Si kitu cha ajabu kabisa maana ng'ombe na wanyama wengine husafirishwa kwa njia mbaya zaidi nchini kama kwenye malori ya wazi na mabehewa ya wazi tu wangeanzia huko kwanza
ReplyDeleteMateso makubwa hata wewe wajua, tuelimishane je naniachukue hatua dhidi ya ukatili huu.
ReplyDeleteHapa sioni kikikukwa kwa haki za wanyama... mbwa ni mlinzi, hivyo hapa amewekwa alinde mizigo.. kuna ubaya gani?
ReplyDeleteMbona utaji jina la mmiliki wa gari hii ! Ankal bwana , Wewe unajua gari hili ni la Mhe.mwenyekiti wa kijiji
ReplyDeleteBw.Mjengwa alikuwa safarini Iringa kwa ajili ya tambiko za kimila
acha umbea na wivu wa kike, ulitaka asafirishwe vipi?
ReplyDeleteOhooo!
ReplyDeleteIle tu picha hii ikifika Makao Makuu ya Haki ya Wanyama huko Uswisi huyo mwenye gari atakiona cha mtema kuni!
Ni lazima atatafutwa tena na Mawakili wa Wanyama atasafirishwa na atafikishwa kwenye sheria huko Majuu.
Haki za wanyama; tungali zetu hazijapatikana? Si bora huyo yuko ktk cage! Wamama na watoto wanaozurura mijini kuokota ktk pipa za uchafu; wamama wanaofanya kazi kuliko punda vijijini, kutembea maili nyingi kuteka maji, kuni!
ReplyDeleteMuulize Mitt Romney aliogombania urais US na Obama alitoa kali kama hii ikawa gumzo kwenye campaign
ReplyDeleteUmemuharibia sasa!!huyu mbwa kazamia gari baada ya kuona nyumba ya tajiri yake jiko limenuna!
ReplyDeletehuyu Annoymous hapa juu aliyesema ..wivu wa Kike... Alikuwa mwanamume au mwanamke hapo zamani?
ReplyDeletesasa mlitaka huyo mbwa akae na hao abiria humo ndani?
ReplyDelete