Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2013

    Nashukuru kuona mh unaongea kwa uchungu ila nitataja matatizo mawili tu. 1 UWAJIBIKAJI mpaka sasa hivi viongozi wanatakiwa kuwa wameshawajibika haijalishi umehusika au la ila tu kama swala kama hilo linaangukia sector yako unatakiwa kuachia mpaka sasa kama sikosei,polisi, TRA ,USALAMA, HATA KWAKO MZEE hakuna mwenye ndoto ya kuwajibika kwa hilo. 2 Tanzania mmejaliwa kuwakaribisha waasia na wamejazana kama nini ila security service yetu ipo kama haipo sidhani kama wanafuatiliwa wanafanya nini au wanapoingia mnafuatilia background zao.mkiona kama nchi nyingine kuja uingereza marekani nk wanakuwa so strict ni kwa usalama wa nchi na mali zao sasa nyie kaeni na waasia mkidhani wamekuja kuwaangalia usoni.inasikitisha kuona mimi nilalamike waziri alalamike,mkuu wa polisi alalamike ,usalama walalamike sasa nani mwenye power atamsaidia mwenzake.show your power guys globalization itawatoa jasho mnadhani bado mko kwenye ujamaa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2013

    Kagasheki anauliza kontena lilitokaje hali ya kua bandarini kuna kila aina ya ulinzi???Nadhani lilitoka kwa njia ileile iliyotumiwa kutoa twiga pale KIA.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2013

    Wewe anoynymous wa kwanza kabisa uliye toa comment katika jambo hili nimekupendaaaaa bure! yOU SAID IT SO WELL AND SO CLEAR! Mdau ungekuwa karibu ningekukaribisha chai na mkate hakika! You are very smart. Tanzania sasa hivi kumejaa wachina kila kona je wana vibali halali vya kuwa nchini ama? hao hao ukienda nchini kwao bila kibali unafungwa jela. sasa wao wanafanya nini hapa? wana manufaa gani nchini? au ndo kutuuzia vitu feki tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...