Wanachama wa NSSF wa Amani SACCOS ya NDANDA Hospital wamepata Mkopo wa mil 700
chini ya mpango mahsusi wa kukopesha wanachama wa NSSF kwa kupitia SACCOS zao kwa madhumuni ya kupunguza wanachama kujitoa kutoka kwenye Mafao na kuongeza wigo wa wanachama ili kujenga maisha yao ya sasa na Baadae.
Mgeni Rasmi Mhe. Waziri wa Kazi na Ajira Mama Gaudentia Kabaka akikabidhi hundi hiyo kwa Dkt. Peter Shayo Mwenyekiti wa Amani SACCOS katika hafla fupi iliyofanyika MSEMO Hotel and Resort mjini Mtwara.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...