Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2013

    Nzuri sana hapo mama angeacha nywele zake za kiafrika

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2013

    Mama piga picha ktk uasili. Hizo nywele noma. Lakini mmependeza , hicho tu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2013

    Amani itadumu endapo ufisadi, rushwa na ukandamizaji wa vyombo vya dola utaisha.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 23, 2013

    AMA WEWE kweli bonge la mshamba, wewe umeona nywele tu na hujaangalia ukamilifu wa meseji chanya inayopatikana katika picha hiii!!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 23, 2013

    kila mtanzania angependa kuwa na tabasamu na furaha kama inayoonyeshwa kwenye picha, ujumbe mzuri je uhalisia unasemaje?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 23, 2013

    Ukiacha meseji maridhawa na namna walivyopoz Mi cjui hao ni akina nani Na issue ya nywele sioni imekaaje kwani si inawezekana ni nywele zake mi cjui mnatakaje!

    ReplyDelete
  7. Ujumbe umefika.
    Splitting hairs just for fun.
    Tuzungumze juu ya hiyo picha. Kwa ufupi wote wamependeza sana, sijui kama ni maprofeshno ama ni familia huko Ilala.Mpiga picha ni profesheno, ni Michuzi jr nini?
    Kuna ujumbe bila ya maneno,kwanza kichwa cha mama kwenye shavu la jamaa yangu,pili mkono wake kwenye bega la kipusa chake.Hivyo vitoto vimependeza sana Hao wanaozungumza nywele, mwanana huyu hata angejitwika pakacha kichwani angeng'aa.Mimi binafsi ningeteremsha picha kidogo kuonyesha pete ya ndoa kwenye mkono wa huyo malaika.
    Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  8. amani ni ulinzi na fursa za fisadi na wala rushwa kufanya watakalo.

    Ukileta fyoko watakuuwa kwani unaondoa amani amabyo ni fursa ya kufisidi.

    ReplyDelete
  9. umefika wakati amani iwe msingi wa haki na siyo sababu ya watu kugharamia haki zao.

    ReplyDelete
  10. Mama zetu wengi, vijana kwa wazee wanavaa mawigi. Tena kila style halafu akimwona mtu na nywele zake za asili anaitwa msomali, mwarabu muhindi sasa mwafrika anaevaa wigi aitwe nani, Maana wengine wigi na mkorogo mpaka anabadilika hujui kama mwafrika.

    ReplyDelete
  11. NI KWELI HIZI NYWELE ZIMEHARIBU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...