Hili ni moja ya maeneo maarufu yaliopo ndani ya jiji la Dar,Je waweza jua ni wapi hapa??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2013

    jengo la office za michuzi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2013

    hapa ni ikulu ya white house ndogo pale muleba

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 29, 2013

    Njia panda ya muhimbili shule ya msingi name diamond jubilee.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 29, 2013

    Lipo Kona katika makutano ya barabara ya maliki na umoja wa mataifa opposite na muhimbili na umoja wa mataifa shule ya msingi upanga!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 29, 2013

    Kijijini pale Old moshi karibia na kirwa vunjo! Nani atasahau vijiji vya uchagani!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 29, 2013

    Pembeni don bosco na ukishusha tambaza makaburini upanga

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 30, 2013

    Mbulu Parish, Kahama

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 30, 2013

    UPANGA, NJIA PANDA YA MUHIMBILI'

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 30, 2013

    Hapa ni karibu na mto Ngono kwa nyuma

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 30, 2013

    Opera House, Sydney, Australia

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 30, 2013

    HAPO WA NDUGU NI KIGOMA UJIJI, KONA YA KLABU YA MPIRA KINGSTEAM.

    ANAEBISHA ANAKARIBISHWA MIMI NI MBISHI ASILI YANGU UJIJI KIGOMA

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 31, 2013

    hapa ni kwa michu....edward hosea upo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...