Asalaam Alaikum & Ramadhan Mubarak.

Yafautayo ni mambo (siyo yote) lakini ambayo ni common na watu labda hawayajui kuwa yanatengua funga zao. Ningependa kuwajulisha kuwa kama kuna mwenye maoni zaidi bas ayatoe kwenye comments au sanduku la maoni.
Ahsanteni na nawatakia swaum Maqbul
-Brother Malcolm, East London


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2013

    Ubarikiwe, asante kwa taarifa murua.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2013

    Interesting, Ear/Eye drops= Do not break the fast,but nose drops break the fast, actually in the middle ear there is tube we call Eustachian tube/canal, it opens in the nasal pharyn (part of your throat just behind the nose), in medicine we say any drops that can be used in eyes, ears and nose, can not be poisonous as we eventually swallow them.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2013

    hii itakuwa brother Malcolm X toka Barking huyu

    shukran AL HABIB...

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2013

    Hii ni kutoka katika school of thought gani? sijui aloandika kapata wapi hii lakini kuna mengi hapa ambayo yamesemwa kuwa hayaharibu saumu na ambayo sio kweli kama swimmingg, kissing, vomiting, use of inhaller na using of mouthwash while fasting. Hizi hazikubaliani na madhehebu yote makubwa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 17, 2013

    AKHSANTE

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 17, 2013

    may ALLAH rewards you brother

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 17, 2013

    Muumba akulipe kwa taarifa

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 17, 2013

    "Backbiting" ni kusengenya, hii nafikiri itavunja saumu. Ukingoa jino damu hutoka, hii pia nafikiri itavunja saumu. Pia utumiaji wa majini ya Kikafiri kama "Malcolm" si desturi nzuri kwa Waislamu. Tujaribu kuwa waangalifu na elimu za dini ya Kiislam zinazotolewa na Waislam wa UK. Wengi wao wa masheikh wa UK ni Wapakistani ambao wanatoka katika Madhehebu ya Islamilia na Shia. Haya Madhehebu kwa kweli yanapotosha Uislam. Tuwe makini nduguzanguni na dini yetu.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 17, 2013

    Pingeni kwa kutoa hoja zilizokazaniwa na ushahidi wa Qur-an, hadith, rai za wanazuoni na maimamu pengine zikawa ndio fatwa.

    Binaadamu tumepewa neema ya akini, maarifa na hekima basi haya ndio yanayotofautisha na viumbe wengine.

    Hakika mbora wenu ni yule aliyepata elimu na kuwafundisha wengine. Mdarasishaji nakuuombea neema na radhi za allah zikufikie hapo ulipo in sha allah.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 17, 2013

    usiwasikilize wasio na elimu mimi pia nakubali na hayo kwani hii imethibitishwa na big sheikh wa time hii mambo yote yako wazi hapo wewe na darasa lako la saba ati na wewe utie mawazo hahaaaa

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 17, 2013

    wewe ushaambiwa THE DROP TO YOUR EAR itaishia kwenye EAR hivyo haitengui swaum Lakini kwenye pua ni rahisi kuingia ndani tuulize sisi tunachukua udhu mara tano kwa siku wewe hujawahi kusali hata siku moja unataka kutoa maoni yako unafikiri siasa hii. AHHH unajua mijitu mingine wivu tu.malcom mimi nakuombea dua japo hatujuani hebu kwanza nipigie simu 07582401338 nipo nchi hiihii ulipo

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 17, 2013

    Naam Al Ustaadh Brother Malcolm kweli Darsa umelishusha Alhamdullilah.

    ''BACKBITING'' MIMI BINAFSI NAUCHUKIA SAAANA USENGENYAJI!


    Hata kama ''No.27 Backbiting Does'nt break the Fast but reduces the reward'',,,,kwa kuwa kila aafanyaye Mtihani Matarajio yake ni Kupata Maksi zote nafikiri ni VYEMA TUKAEPUKA BACKBITING yaani ''USENGENYAJI'' kabisa ili kupata Malipo Makqul zaidi!!!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 17, 2013

    Sheikh Malcolm vipi kuhusu Hisia za ghafla za kibinaadamu Mfano ''seven up''?

    Inaweza kutokea upo katikati ya Swala halafu kibindoni Mwanaume Kiungo chako kikapata hisia, je Swala ama Funga bado utakuwa navyo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...