Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,alijumuika na Waislamu na
wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika Swala ya Magharibi kabla ya
kufutari nao pamoja kwa futari aliyowaandalia wananchi hao jana katika
viwanja vya Ikulu ya Wete.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,pamoja na Wananchi na waislamu wa
Mkoa wa Kaskazini Pemba waiitikia Dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi,baada ya Swala ya Magharibi,na
kuendelea na Futari aliyowaandalia katika viwanja vya Ikulu ya
Wete.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto)alipojumuika na
Viongozi na wananchi wa na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika
futari aliyowaandalia jana katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba.
Wananchi wa Mkoa wa Kasakazini Pemba walipojumuika
kwa pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika futari aliyowaandalia jana katika
viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema
Shein,(katikati) akiwa na Viongozi wakat wa futari aliyowaandalia
akinamama wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika ukumbi wa Ikulu ya Wete
Pemba jana.
Akina Mama wa Mkoa wa Kaskazini Pemba walihudhuria
katika futari walioyoalikwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama mwanamwema
Shein,jana katika ukumbi wa Ikulu ya Wete Pemba, [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...