Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa
Bandari mpya ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar leo.mchana
(kushoto) Sheikh Said Salum Bakhresa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alitembelea sehemu mbali mbali katika
ikiwemo IMMIGRATION DEPARTURES pamoja na Viongozi aliofuatana nao
baada ya kugungua Bandari ya Abiria katika Bandari ya Malindi Mjini
Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Injinia Mkuu wa
Shirika la Bandari Mbarouk Hamad,(katikati) wakati alipotembelea
sehumu ya Kuegeshea Meli ya Mizigo katika sherehe za ufunguzi wa
Bandari mpya ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar
leo.mchana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi zawadi mfadhili wa Kampuni ya ujenzi
wa Bandari mpya ya Abiria,Sheikh Said Salum Bakhresa,katika sherehe za
ufunguzi wa Bandari mpya ya Abiria katika bandari ya Malindi
Zanzibar leo mchana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na waalikwa
katika sherehe za ufunguzi wa Bandari mpya ya Abiria katika bandari
ya Malindi Zanzibar leo.mchana,(kushoto) Naibu Waziri wa Mawasiliano
na Miundimbinu Issa Haji Ussi (Gavu) Harison Mwakiembe Waziri wa
Miundombinu Bara,na Sheikh Said Salum Bakhresa (kulia).[Picha na
Ramadhan Othman, Ikulu.]
Muumba akulipe uliyewezesha kuwa na gati lingine lililozuri kwa manufaa ya Wazanzibar na wengineo kwa ujumla.
ReplyDeleteNa ni mfano mzuri wa kuigwa kwa walio na uwezo wafanye hivyo kwa manufaa ya wananchi kwa ujumla
Bakhressa wewe ni noma! Umejenga bandari!!! Hongera mkuu..
ReplyDeletekupewa mwezi tu Bahresa amefanya kweli na watu walikuwa washaanza manung'uniko o`oh kapewa sasa mambo hayo na ile lounge ya kusubiria abiria na ile ya meli zake bab kubwa hata ulaya hamna kama hivi
ReplyDeleteSasa vipi kuhusu immigration wa nini tena au kwa ajjili ya meli za nje ya tanzania?
If a private company can afford to do this. What can a government afford to do?. Who benefits from our tax money??.
ReplyDeleteHongera Baharesa.
Hongera SSB Mola akuzidishie
ReplyDeleteSasa mbona hoteli ya Bwawani mmemnyima na mambo mnaona anayaweza??
ReplyDelete