![]() http://www.tamcousa.org/
Uongozi wa Tanzanian Muslim Community in Washington DC Metro(TAMCO) unawakaribisha na kuwajulisha kuwa tutaanza kufuturu pamoja jumamosi na jumapili hii pamoja na weekend zote za mwezi wa ramadhani. Tunaombwa tuudhurie na tuwajulishe wengine wote:
Address ni:
Indian Spring- Terrace Local Park
9717 Lawndale, Silver Spring, MD 20901
Sligo – Dennis Avenue Local Park
10200 Sligo Creek Pkwy, Silver Spring, MD 20902
Karibuni
Uongozi
TAMCO
|
Home
Unlabelled
FUTARI YA PAMOJA KWA MWEZI WA RAMADHANI - DMV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...