http://mvuto.com/ ni Mtandao (social network) mpya na wa kipekee wenye lengo la kuwauunganisha watanzania wote waliopo nje na ndani ya Tanzania. Sifa na malengo yake ni kama yale ya facebook, tofauti ni kwamaba Mvuto umelenga kuunganisha watu wa jamii moja zaidi.
Kujiunga ni bure na karibu sana.
Tunatanguliza shukrani zetu za
dhati kwa ushirikiano wako
Wadau Finland


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...