Baadhi ya watoto yatima wakipakuliwa futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam Jumatatu jioni
Wtoto yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam
Watoto yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam
Yatima wakipata futari Ikulu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasabahi baadhi ya watoto yatima walioshiriki katika futari aliyoiandaa ikulu jijini Dar es Salaam leo.Watot yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam walihudhuria futari hiyo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimbeba mmoja ya watoto yatima walioshiriki katika futari aliyoiandaa ikulu jijini Dar es Salaam leo.Watot yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam walihudhuria futari hiyo. Picha na Freddy Maro
good stuff keep it up JK , lakini ni vyema kuwa na mpango maalum wa serikali kuweka mafungu ya fedha kwa vituo vyote vya yatima kila mwaka ktk bajeti ya serikali , ili neema hii isiwe kwa mara moja kwa mwaka , lakini angalau wapate uhakika wa lishe kila siku ya mungu , serikali inatenga fedha za mambo ya michezo kama mipira nk , jee ni kipi muhimu kucheza mpira au kuwahakikishia watoto kama hawa malezi na lishe bora? utajaza mwenyewe jibu
ReplyDeleteMoney well spent!!!!! These kids actually need the food, congrats JK. I can't wait to see the next round.
ReplyDeleteIsiwe 'Once in a blue moon'. Hata hivyo inapendeza sana, inawapa faraja na kuwatia moyo watoto hao (Yatima) waliondokewa na wazazi wao. Ila jambo kama hili nadhani ingekuwa vizuri zaidi likawa linafanywa mara kadhaa kwa kila mwaka, nadhani itasaidia sana kuwa nao karibu zaidi watoto hao. Isiwe Ramadhan mpaka Ramadhan ndio tukumbuke kuna mayatima. Neema na fadhila za M/Mungu zipo siku zote kwa kadri tunavyojibidiisha kutenda mema.
ReplyDeleteTunakuomba Mwenyeez Mungu warehemu wazazi wa watoto hao na wote waliokwishatangulia kwako. Waghufirie kwa yote na uwapumzishe katika PEPO yako - AMEEN.
Msaada kwa watoto hawa uende mbali hadi ktk maswala ya kielimu,tusiishie kuwapa futari.Nakupongeza mtani wangu JK kwa moyo wako wa huruma,keep it up!
ReplyDeleteNi Vema vema sana hawa ndio wahitaji na Mungu atakupa baraka tele sio kufuturisha matajiri watu na uwezo wao kisa ni mwezi mtukufu wa ramadhani, JK nakusihi sana futurisha tu makundi yenye uhitaji kama hawa tu upate rehema na thawabu tele mbele za muumba wetu.
ReplyDeleteHongera Hon.JK hawa ndio hasa wa kuwafutarisha.Mungu akujaze kila la kheri AMIN
ReplyDeleteMUNGU Amzidishie.
ReplyDeleteFeeding of yatima is a recurring theme in the Quran karim, and during the holy month of Ramadhan we are always reminded to look after those less fortunate than ourselves.You don't have to be a muslim to gain God's favour during this month
Ibrahim
hongera JK, wastahiri pongezi kwa kupata muda na kukaa na hawa watoto wamefarijika sana, Mwenyezi Mungu akujaze kheri. nasi watanzania twatakiwa kuwa karibu na yatima hawa, ni watoto wetu sote malezi ni yetu sote,tusitupiane lawama kwamba malezi ni jukumu la fulani, tujitoe kuwasaidia hawa, thumni yako ni ya kubwa sana kwa yatima, wasaidie upate thawabu zako!
ReplyDeleteHongera Mheshimiwa Rais. Mwenyezi Mungu akusamehe pale unapoteleza na ubarikiwe katika kazi zako.
ReplyDeleteUnaonaje Mheshimiwa Rais ukafanya yafuatayo kusaidia mayatima:
- kuanzisha taasisi ya serikali itakayohusika na masuala ya watoto yatima
- ku rais funds kwa ajili ya kujenga kitega uchumi ambacho kitaendesha taasisi hiyo
Well done even once in a year. It is heartening!!
ReplyDeleteI am impressed. It takes an effort and inner will to do this continually. God bless you
ReplyDeletewelldone Mr President kikwete.
ReplyDeleteutakumbukwa kwa mengi saana na
hili litakuwa mojawapo ni mfano
wa kuigwa na wengine si chakula
tuu lakini upendo uliokuwa nao usio na ubaguzi kwa wananchi wote wasiojiweza na wasio na uwezo.
mikidadi-denmark
allah akuzidishie kila la kheir Rais wetu J K, Allah akufanyie wepesi mambo yako na kazi zako,
ReplyDeletenamwomba Allah atupokelee swaum zetu.
Ameen.
Hongera sana Rais wetu kipenzi, nakukubali sana Rais JK, Inshaa'allah M'Mungu akuzidishie AMEEN
ReplyDelete