Baadhi ya mashabiki wakiwa na furaha kuburudishwa na mwanamuziki Jose Chameleone.
Kwa picha zaidi bofya link hii chini.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tanzania Tanzania!!
ReplyDeleteNakupenda kwa moyo woote!
hao wasichana ni wa kiganda ? sura zao zinaonekana nature sana hakuna mkorogo,
ReplyDeleteSasa hizi ndizo tour za mastaa wetu
ReplyDeletemakamuzi yao ni kwa waganda,wabongo na wakenya
Mdau wa 2 juu sura ni nature hakuna Mkorogo , hao ni Mademu wa Ki-Uganda waliopo California USA.
ReplyDeleteMkorogo hauna dili kabisa,IMEBAKIA KWA AKINA DADA ZETU WA KIBONGO-KI TANZANIA KAZI NI MIKOROGO NA MANYOYA YA FARASI VIHCWANI HUKU MCHINA AKISHIKA KASI HADI KWENYE MAKALIO KUCHA NA KOPE !
Wasichana wa Kitanzania nani ALIWADANGANYA ya kuwa Uzuri ni mpaka uwe umepaka Mkorogo?
Wasichana wa Kitanzania nani aliwaambia na KUWADANGANYA ya kuwa Manyoya ya Farasi vichwani ndio Urembo?
BE NATURAL, BE AS YOU ARE, BE REAL!!!