Mpendwa wetu Dr Peter Zachriah leo ni miaka miaka sita tangu umetutoka na kutangulia mbele ya haki. Tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi. Unakumbukwa na mke wako Lilian P. Kopwe watoto wako Ronald , Paul , Nancy na Gerald pamoja na Wazizi wako kaka zako Dada zako shemeji zako wote pamoja na jamaa marafiki (Ayub 19:25 ) pumzika kwa amani
Home
Unlabelled
KUMBUKUMBU YA DR PETER ZACHARIAH KOPWE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...