FAMILIA YA DANI MAFURU WA DUBAI LEO TAREHE 15. JULY. 2013.WANAKUMBUKA MSIBA WA MAMA YAO MPENDWA ELIZERBERTH CHILLIKO LEO IMETIMIA MIAKA MITATU TANGU ALIPOTENGANA NASI KWA MAPENZI YAKE MOLA.
UNAKUKUMBUKWA SANA MAMA NA WANAO, WAJUKUU, NDUGU JAMAA NA MARAFIKI. WEWE UMETANGILIA MWENYEZI MUNGU AKUREHEM .
AMINA. |
Home
Unlabelled
KUMBUKUMBU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...