![]() |
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Baraka Kunisaga (DC. Nyamagana) akimpokea Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa (MB-Monduli) alipowasili leo uwanja wa ndege wa Mwanza. |
![]() |
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza (RAS) Doroth Mwanyika akisalimiana na Mhe.Lowassa baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Mwanza anayefuata ni Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Mery Tesha . |
![]() |
Waziri Mkuu mstaafu Mhe.Lowassa akisalimiana na Shekh Ferej ambaye aliongoza mashekh na viongozi wa BAKWATA Mkoa wa Mwanza uwanjani hapo kumpokea. |
![]() |
Katibu wa BAKWATA Mkoa wa Mwanza Shekh Mohamed Bara akisalimiana na Waziri Mkuu msataafu Mhe. Edward lowassa uwajna wa ndege leo. Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA |
Mheshimiwa Lowassa hongera kwa juhudi zako za kuwafanya watanzania kuanza kujitegemea wenyewe bila kuomba nje.
ReplyDeleteHarambee unazofanya ni dalili kwamba watanzania wenyewe wakiamua wanaweza kufanya mambo yao wenyewe bila kuomba omba nje.
USHAURI:
1. Tunaweza sasa kubadili mwelekeo kwa kuchangia makanisa na misikiti na kuchangia elimu ya juu kwa watoto wetu. Wilaya au tarafa inaweza kukusanya watoto wenye vipaji maalumu na ikaitishwa harambee kuwaachangia ili waweze kwenda kujiendeleza katika vyuo maarufu duniani kama havard etc.
2. Lowassa ameshaonesha njia sasa watu wengine maarufu wanaweza pia kusaidiana naye katika harambee hizi. Hii itaondoa hisia zilizojengeka kwamba mheshimiwa Lowasssa anafanya mambo haya kwa ajili ya kutafuta madaraka ya kisiasa ( uraisi)