Mdau Luqman Ramadhan Dau akiwa katika joho mara baada ya Kulamba Nondozz yake ya BSc (Hons) Molecular Biology University of Sheffield Jumatano Julai 17,huko nchini Uingereza.
Mdau Luqman Dau akiwa na Wazazi wake,Ndg. Ramadhan Dau na Mama Zeinab Dau wakati wa wakati wa Sherehe ya kulamba nondooozzzzz  yake ya BSc (Hons) Molecular Biology University of Sheffield Jumatano Julai 17.
Luqman akiwa na "Meya wa London" Haruna Mbeyu na Uwesu Katundu ambaye nae alilamba nondozz zake De Mont fort University ya Leicester Jumamosi iliyopita.
Luqman akiwa na wadau mbalimbali akiwemo Uwesu Katundu, "Meya wa London" Haruna Mbeyu, Katibu wa Diaspora UK Mariam Mungula, Abdul Dau, mke wa Dr Dau Zeinab na mama mzazi wa Dr Dau.
Luqman akiwa na wadau mbalimbali

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2013


    Hongera SANA LUQMAN hongera sana Dr Dau kufanikisha mafanikio ya kijana.

    Wenzetu wanasema "picture speaks a thousands words" tumeshuhudia mfano wa malezi mazuri kwenye picha ya familia unaweza ukaandika "thesis" nzima kuidadavua picha hizi.

    To Luqman sky is the limit

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2013

    Hongera sana Luqman kwa Nondoz ya Molecular Biology
    TUNAHITAJI VIJANA KAMA WEWE wenye kupenda elimu ili waje kuendeleza taifa letu.
    HONGERA NA wazazi wa Mdau Luqman Dr.Dau na Bi Zeinab kwa malezi mazuri na kusomesha kijana atakae kuja saidia katika ujenzi wa Taifa letu..
    DC uko juu..
    Mdau wa Diaspora.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 19, 2013

    safi sana vijana kamanyinyi tunhitaji mtuletee ujuzi wenu nyumbani.pia hongera DR Dau naona maji yanafata mkondo katika elimu.

    Mdau Pretoria.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 19, 2013

    kila la kheri

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 19, 2013

    Hongera sana Luqman kwa kukamata Digirii. Naona wa Dau wa Luqman kina Meya wa London na wengineo wako na DAU Mkubwa, Dr. Ramadhan Dau.

    Luq..keep it up. Remember Sky is the limit. Endelea kuchimba mpaka tupate Phd nyingine.

    Mdau wa 4Blake Avenue, Barking (IG11 9RT)...wakati uleeeee!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 19, 2013

    Hongera Luqman

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 19, 2013

    Hongera Luqman. hiyo ni nondo kweli Sayansi tupu hakuna ungwini!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 19, 2013

    Hongera sana Luqman kwa nondooozzz nziito,na hongera wazazi wa Luqman Dr.Dau na Bi Zeinab kwa kutimiza wajibu muhimu wa kumpatia elimu kijana ili aje kusaidia katika kujenga Taifa letu. Mwenyezi Mungu amfungulie njia zenye kheri na yeye.Amin
    from Diaspora

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 19, 2013

    Hongera Luqman kwa kula Nondozz adimu kutoka katika moja ya TOP vyuo vya juu sana katika Uingereza na Ulimwenguni.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 19, 2013

    Hongera saana Luqman jitihada zako zimejilipa, usipumzike baada ya matokeo mazuri.
    Pongezi kwa wazee na marafiki wote mliokuwepo kuifanya siku njema kwa kijana wetu. KILA LA KHERI.

    anko mikidadi-denmark
    DIASPORA.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 19, 2013

    I'm trying to imagine the dinner table conversation in the THE HOUSE OF DAUS....mmmmoja (Ahmed) ni AERO-NAUTICAL ENGINEER, The Dad hold's PhD in MARKETING, The Mom is holds MA in HRM, Luki holds BA in Molecular Biology, sasa bado Drizzy (Dully) who is also abt to take on a degree on Nuclear Reaction Theory at Harvard. Na hapo bado Kheri Mahimbali (Dau) naye na MA in OIL & GAS...na hapo bado sijawataja akina Haruna Dau naye na MA in LAW, akina Mbaraka Dau, MBA Marketing, Ahmed (bui) Dau MBA Finance, ALI MOOORE MAJURA DAU, MA in ICT,UWESU KATUNDU DAU, MA Economics.



    Sasa huku tunaambiwa ohhhh waswahili hawakusoma sasa hizi MA na BAS zimetokawapi?


    WADOGO ZANGU HONGERENI NA MSIONE AIBU KUANDIKA KWENYE BUSINESS CARDS ZENU MLIKOSOMA NA HIZO DEGREE ZENU NA INARUHUSIWA NA NI HALALI KABISAAA KUONYESHA ( forget hayo mambo ya kuambiwa ati sijui RI'AA).

    Na sasa kuna PhD Scholarships za STANFORD, HARVARD, MIT, OXFORD, KINGS COLLEGE na LSE zinawasubiri....


    -WIMBI LA MBELE

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 19, 2013

    its good to see madogo wa Dakta Dau wamesoma vitu tofauti ya vile tulivyozoea . Ahmed kapiga Aerospace Engineering na huyu kapiga Molecular Biology!!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 20, 2013

    Ohhhh mbona mdau hapo juu umebagua?

    wengine mbona hujawataja na wasomi pia?

    Lakini hii production line ya Dr Dau inatisha after 2 yrs hawa watu watakuwa mbali zaidi.

    Sasa kazi zenyewe zipo?

    kumbe haruna ana MA in Law?

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 20, 2013

    Huyu dogo pia kwenye mpira utasema kazaliwa kule kwa pele maana hashikiki nishakumbana nae hapa LEICESTER CITY,,ni mm mdau wenu papaya au papinyoo..dogo hongera sana na mungu akuepushe na mabaya.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 20, 2013

    Mungu awakupe kila la kheri Dr Dau,kwa muonekano tu ni familia bora yenye mtazamo chanja na thabiti,

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 20, 2013

    mdau uliyesema kuhusu dinner table conversation dawa yake ni ndogo sana.

    topic za mipira zinatosha na uzuri akina Dau kuanzia Dr Mpaka Luki woooote ni SIMBA DAM

    Lakini zaidi Mapenzi yao kwa MAN U yahana mfano

    hivyo hayo mambo ya kudiscuss BEING VS AIRBUS na sijui mambo ya updtream down stream na muclecular biology sahau


    hao watu wa mpira hivyo hiyo sio tatizo hata kidogo

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 20, 2013

    sasa mbona bui kawa mpole hivyo?

    halafu haya mambo ya kuvaa tai ni bidaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...