Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiteremka kwenye ndege GF1 alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam akitokea Nchini Nigeria alikohudhuria mkutano wa Umoja wa Afrika uliojadili mbinu za kukabiliana na Ukimwi, Malaria na kifua kikuu ambapo aliwaambia wajumbe wa mkutano huo kuwa Tanzania itafikia malengo ya Umoja wa Afrika iliyojiwekea katika kukabiliana na Magonjwa hayo, mkutano huo ulimalizika jana July 17-2013 mjini Abuja Nchini Nigeria (Picha na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kumpokea mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam akitokea Nchini Nigeria alikohudhuria mkutano wa Umoja wa Afrika uliojadili mbinu za kukabiliana na Ukimwi, Malaria na kifua kikuu ambapo aliwaambia wajumbe wa mkutano huo kuwa Tanzania itafikia malengo ya Umoja wa Afrika iliyojiwekea katika kukabiliana na Magonjwa hayo, mkutano huo ulimalizika jana July 17-2013 mjini Abuja Nchini Nigeria (Picha na OMR)
karibu nyumbani mheshimiwa makamu wa rais
ReplyDeletemheshimiwa wetu mkuu kakusubiri sana na mabegi yake hapo uwanja wa ndege wa airpot anakusubiri ufike achukue mchuma ana kikao nchi fulani
huo mchuma kumbukeni kuupiga sevisi ya kumwaga oil na kubadilisha filta kabla ya kuondoka tena
nafikiri katika michuma ya viongozi duniani mchuma unaonekana sana kwenye anga ni huo wetu unachana mawingu kila siku
itabidi mheshimiwa mkuu aruke fastafasta kabla injini haijazimwa na akirudi kuna yule mkuu wa kina magufuli nae anataka kukwea kwa misele yake ya hapa na pale
hahaha ankali swaum maqbool kaka
Kila mtu na afanye kazi yake pliiiiz. Huo mchuma kumbuka ndio ule ambao wanoko walichoooooooonga kama vile wanajua chochote kuhusu madege. Hiyo ni Gulf stream 55. Maswaali?
ReplyDeleteKaribu vice president tuomboleze vifo vya wapiganaji wetu waliokutwa na umauti wakilinda amani huko Sudan
ReplyDeleteanonymous saidi,
ReplyDeletec mtu wa mendeleo ni mtu wa mtazamo
wenye kurudisha nyuma maendeleo, kipi cha ajabu hapo au ulipenda tuwapeleke viongozi wetu katika vikao mbali mbali vya mikutano ya kimataifa na ngamia au punda? sifu kama maendeleo yanaonekana,bomoa kama maendeleo yanazolota.Jirani
zetu wanajishika vichwa,tulizana ustadhi-said,tupo ktk swaum
mikidadi-denmark