Home
Unlabelled
Makutano Show: Muungano UmeKufa - Tundu Lissu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mbona kuna kaunafuu hao Zanzibar wanapata asilimia nne na nusu. sisi Kigoma, Kagera, Lindi n.k mbona hatupati kitu. kila kitu kinaishia Dar. je na sisi tudai nchi yetu ili tupate misaada moja kwa moja?
ReplyDeleteUMEMPATIA KWELI NA HOJA UCHWARA - "MUUNGANO UKIFA INVESTMENT ZITATAIFISHWA?". TOKA LINI KUINVEST KATIKA NCHI KUNAHITAJI MUWE MMEUNGANA?
ReplyDeletelISSU NAKUPA HEKO
ReplyDeletePia nikufahamishe kwamba muungano umevunjwa 1984 pale nyerere kuvunja makubaliano ya muungano, makubaliano ya muungano tulikubaliana kuwe na serikali tatu,ya tanganyika, ya zanzibar na jamuhuri za muungano ya tanyangika na zanzibar, huo ndio muungano ambao ulikuwa sahihi toka hapo awali.
Nyerere aliunvunja pale kila penye tanganyika kuweka jina la tanzania, tanganyika kuvaa koti la tanzania, hebu tuambieni hayo makubaliano ya muungano yako wapi ambayo yanayosema tanganyika ivae koti la muungano ?
WEWE ULOSEMA unafuu ZNZ asilimia 4 wakati kwenu kila siku kunajengwa mabarabara na University ?
ReplyDeletehebu angalia juu ya hii habari ya Tundu hakuna habari kuwa wilaya ya HAI imeingia mkataba na SWEDEN?
Yaaani nyie kisheria mnaingia tu mikataba sisi haturuhusiwi
Yaliyosemwa na Tundu ni ukweli mtupuuuuuu tumechoka
CHADEMA wanauwezo wa kujenga hoja na kuhoji kwa nguvu za hoja.
ReplyDeleteHapa Mh. Tundu Lissu anayoongea yanaeleweka na ndiyo maana serikali tatu yaani ya Tanganyika, Mapinduzi Zanzibar na ile ndogo ya Muungano.
Tatizo viongozi wa sasa wa dola ya Muungano na ile ya Mapinduzi ya Zanzibar hawajaweza kutetea kwa nguvu ya hoja aina ya Muungano uliopo sasa hivi huku kuna kero za Muungano.
Mdau
Mtanganyika.
Yoye aloongoea huyu Muheshimishiwa ni sawa kabisa.... Tanganyika inainyonya sana Zanzibar, na kwa hili wala halitaki tochi... hapa zanzibar bi kuwa na nchi yake na mamlaka kamili na Tanganyika pia, that's it...
ReplyDeleteTundu anawajengea Zanzibar hoja ya kuvunja muungano! Hebu fikiria. Kwa faida ya nani?. Lakini ukweli ni kwamba muungano waZanzibari hawataki. It is about time we faced the truth. Waende zao tugombanie ya kwetu wenyewe!
ReplyDelete