Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle Obama wakipokewa kwa Shangwe Ikulu,Jijini Dar es salaam mchana wa leo.
Rais Barack Obama wa Marekani na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakipokewa kwa Shangwe Ikulu,Jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na mgeni wake,Rais Barack Obama wa Marekani wakati walipokuwa wakielekea sehemu iliyoandaliwa kwa ajili ya kukutana na kuzungumza na Waandishi wa habari Ikulu,Jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa maelezo ya mti wa mpingo anaotaka kuupanda katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Barack Obama wa Marekani na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakizungumza na waandishi wahabari Ikulu,Jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa maelezo ya mti wa mpingo aliotaka kuupanda Rais wa Marekani,Barack Obama katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais Obama akipanda mti aina ya mpingo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akimsindikiza mgeni wake baada ya kumpatia mapokezi ya kihistoria leo Ikulu. PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2013

    AMANI YA DUNIA:

    Ohhh sisi Rwanda tumedhalilishwa kuambiwa tukae na FDLR kwa maongezi ya Amani!

    Kama Raisi Obama na Nchi ya Marekani yenye nguvu kubwa za Kiuchumi na Kijeshi anakaa na TALIBAN ambayo ndiyo Tawi la AL-QAEDA na mengineyo kama AL SHAABAB ,BOKO HARRAM na mengine,,,KWA NINI INAKUWA NI TABU MHE.RAISI KIKWETE ALIPOISHAURI JAMHURI YA RWANDA NA RAISI KAGAME KUKAA KWA MAONGEZI YA AMANI NA WAASI WA FDLR?

    Rwanda hamuoni Mhe. Raisi Kikwete amewasaidia kuutambua wakati kwa kukaa na Waasi?

    Mmeona jinsi Mhe.Raisi Dr.Jakaya Mrisho Kikwete alivyokuwa Dakitari mzuri kuwapatia TIBA YA MATATIZO YENU RWANDA?

    Mmeona mgonjwa mkaidi anappopewa Ushauri na Dakitari akapuuza inakuwaje?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...