Juu na chini ni Wasanii Masanja mkandamizaji na Shilole katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi wa sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na tamasha la Utamaduni wa Kiswahili, Bwn. Baraka Daudi alipokwenda kuwapokea walipotinga uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia.
 Asha Riz mjumbe aliyewawakilisha Tano Ladies kwenye mapokezi hayo akipata picha ya pamoja na wasanii Masanja Mkandamizaji na Shilole mara tu walipowasili uwanja wa ndege wa  kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia.
 Asha Riz katika picha ya pamoja na Shilole.



Wasanii Masanja Mkandamizaji na Shilole wakielekea kuchukua usafiri kuelekea Washington, DC kwa Obama
 Shilole katika ukodak moment alipokua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia.
 Masanja Mkandamizaji kwenye Ukondak Moment uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia.
 Masanja na Shilole katika picha ya pamoja.
 Msanja akionyesha uwanja wa Julius Nyerere wa Marekani "UNABISHA"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...