Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2013

    Ni juzi juzi tulikua tunatoa maoni yetu juu ya umuhimu wa kuendeleza miji/eneo ambalo uwekezaji unafanyika (Suala la Mtwara), lakini kwa bahati mbaya tulionekana kama wachochezi, wapinga umoja kwa kukataa kila kitu kisukumiwe Dar, sasa leo huyu mheshimiwa analalamika anapita mulemule.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2013

    Mtoa maoni wa Kwanza, nakubaliana na wewe, yaani jamaa wengi wasomi wa Bongo wanacopy na kupaste. Mwizi siyo lazima aibe kitu, bali mawazo nayo ni uwizi. Watu wanatoa mawazo kila sehemu, halafu hawa hawa wanajifanya wanapinga ukikaa muda kidogo wanaiga kile kile kilichosemwa, ni aibu. Ndio maana wenzetu wana sheria ukiiiba mawazo ya mtu lazima umpe haki yake mwenye kugundua lile wazo(copyright). Watu wana mashahada lakini kufiri kwa faida hawawezi. Sielewi shule walikuwa wanafanya nini?!! Kaa kidogo utaona na haya maoni wanapinga lakini baadaye wanakopi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2013

    mbona unarudia obama alivyosema? come up with ya own stuff bibo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...