Mfalme Mswati wa Swaziland akisindikizwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipoondoka kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam kurejea nyumbani baada ya kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye uwanja wa Mwalimu Nyerere Julai 1,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na mfalme Mswati wa Swaziland ambaye aliondoka nchini baada ya kufungua maonyesho ya Kiataifa ya Biashara kwenye uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 1, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hii ni kujivunia utamaduni. Siyo kukumbatia Utandawizi mia kwa mia hadi ktk fikra
ReplyDeleteJe, tumejifunza nini kuhusu "vazi la taifa, ambalo ni simple na makes a national statement?"
ReplyDeletehuyu jamaa mbwembwe tu, juzi amepiga suti. Halafu vilevile kaulamba mkanda nje pia kwenye sherehe ingine pale Hyatt.
ReplyDelete