Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2013

    Mhe. Lowassa una upeo mkubwa sana. Count my vote. Hongereni Swahili TV mmeleta mapinduzi ya habari kwa wana diaspora, good job Alex na wenzako

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2013

    u gat my support Mhe Lowassa...King Jojo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 19, 2013

    Lowasa ana uwezo wa uongozi na ana ujasiri wa kuamua na kutekeleza. Tunamhitaji Morani kama Lowasa kuwa Raisi 2015. Kura yangu nitampa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 19, 2013

    Tanzania tunamuhitaji huyu jamaa hili mambo yabadilike.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 20, 2013

    Sikweli kwamba demokrasia imekua Tanzania,mifano ipo hai mingi tu ya ukiukwaji wa demokrasia tena siku hizi wanamsemo wao `mchochezi`ukiwa na lengo la kufifisha harakati za demokrasia.Cha ajabu zaidi pengine hata haya maoni yasitolewe hewani kwa kuhofia kuwaudhi watu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 20, 2013

    Si kweli kwamba eti muungano ukivunjika watu watavamia maduka ya wapemba au watu toka bara kudhuliwa kule zanzibar, hii ni sawa na hile hofu iliyowapata mababu zetu enzi ya ukoloni kukataa kuwapeleka watoto (baba zetu) wao shule za misheni eti kwa kuhofia kubadili dini na kuwa wamisheni, matokeo yake wale waliowapeleka shule watoto wao ndio hao viongozi wetu wa leo wengi wao hawakubadili misimamo yao japo walisoma na kukulia misheni,Hii ni hofu/hoja isiyo na mshiko.Tena iwapo muunguno utavunjika kwa njia ya kufuata sheria yaani kupitia katiba nadhani utakua umeridhiwa na hao watu wanaohofiwa kuleta hizo fujo tofauti na kama ukivunjika kwa njia zingine ambazo nahisi ni hatari zaidi.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 20, 2013

    Kumbe umefanya mengi!wahitaji kupumzika sasa na kuwapa watanzania wengine nao wajitolee.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 20, 2013

    Kuna uwezekano wa kuwa na serikali tatu bila kuleta matatizo. Mfano mzuri ni USA. Kuna serikali siyo tatu tu. bali serikali 51. Federal government na nyingine 50 toka kwa kila State mfano. California, Florida, New York, Texas etc. Muundo na balance of power ndo inaweza kuwa tatizo. Lazima kuwe na Powers za Federal tofauti na powers za serikali nyingine. Kwamfano, Jeshi lazima liwe chini ya Federal government kwahiyo mtu akifurukuta tunamtoa nyongo. Kuna mengi lakini hili kwakweli linataka uangalifu. Kazi nzuri Mheshimiwa Lowassa.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 20, 2013

    Mheshimiwa tunashukuru kwa hilo la shule za Kata. Shida kuwa most of them kuanzia muonekano na standard zinaonekana kama extension tu ya primary school. We need to think more how to improve these schools zisionekane kama shule za msingi katika standard...na hata waalimu nyingine hazina. Kuna hatari ya kujenga taifa la watu wasiwasi. Asante.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 20, 2013

    Ninyi Swahili TV hamkujiandaa. Mheshimiwa amefanya kazi yake lakini production yenu iko poor. Hamkuandaa nini mtasema. Hata closure ilikuwa wasiwasi. Tunashukuru sana kwa jitihada lakini please take your time na kuandaa kitu chenye heshima na kama usipokuwa na uhakika ni vizuri kuwa na scripts usome hakuna ubaya. Kazi nzuri though.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 20, 2013

    poor interview,if u can't do journalist quit it. next time Swahili tv wherever u called it do your damn homework. stop blah blah. terrible interview.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...