![]() |
Top
Sector leadership led by Mr. Hussain (3rd R)
|
UNAMID JSR Dr. Mohamed
Ibn Chambas along with Acting Force Commander Lt. Gen. Wynjones Kisamba and
Police Commissioner Ms. Hester Adriana Paneras visited the other 17 injured peacekeepers
at the same Hospital yesterday.
The Mission leadership
and the UNSG Ban Ki-moon have condemned the act and called for the Government
of Sudan to bring the perpetrators of the “heinous” act to justice.Meanwhile, according
to press reports, Tanzanian President JakayaKikwete expressed his deep shock
following the incident and he sent condolences to the Tanzania People’s Defense
Forces (TPDF) and the bereaved families.
Capt.
John Kivunge, a Tanzanian Staff Officer with JOC, reads a program of the brief
ceremony
He wished quick recovery
for the injured soldiers, saying: “I don’t have a lot of words to express my
shock and sadness on the soldiers who died while on a very important mission of
United Nations, on keeping peace in an area where thousands of people have been
killed…” Mr. Kikwete said in a statement issued by the Directorate of
Presidential Communications yesterday, adding; “since the fallen servicemen and
women were deployed in Darfur in February this year and since Tanzania started deploying troops in 2007, they have
done a good work and the country is proud of them”.
Military
salute as the 'Last Post' rings out by Nigbatt in honour of the fallen heroes
Prayers
from an Imam for the fallen peacekeepers
Prayers
from a chaplain
Prayers
from another chaplain
Maj.
Elinami Moshi reads brief CVs of the deceased to the top brass
A section of the top brass
Last Post
Start
of the last journey home
Mungu ibariki tanzania
ReplyDeletetuleteeni ndugu zetu makomandoo wetu
tunajuwa kabisa hizo ni chuki za majirani zetu baada ya kuona sasa tunaanza kuja juu kimaendeleo sasa wanataka kuturudisha nyuma kwa majanga
hizo jitihada za rwanda na wenzake kutaka kutuzamisha kwenye vita baada ya kuona wivu wa kuwa tanzania ni kisiwa cha amani
watanzania tushirikiane na tuwe kitu kimoja kumbukeni kuwa sasa tuna maadui wengi wa kila kona maana wanajaribu kutuchafua kuanzia kwenye vyama vya kisiasa mpaka kidini
god bless my beatfull country tanzania en bless my president mrisho jakaya kikwete
rest in peace mashujaa
asiependa kwao mtumwa.
serikali ya tanzania pamoja na asasi za kimataifa na UN lazima wachunguze hili jambo kwa upana mkubwa.
ReplyDeleteMimi naamini hili ni tukio lilopangwa na inawezekana nchi jirani kuhusika na hili jambo.
TISS inchunguzee hili nasisitiza tena.
Rest In Peace our fallen soldiers.
Mungu azipumzishe roho zao mahali pema.Naungana na waliotangulia kwamba uchunguzi wa kina ufanyike,na Tanzania pamoja na wapenda amani duniani tunalaani kitendo cha kuwavamia na kuwaua askari ambao wapo katika kulinda amani.
ReplyDeleteHata nao Rwanda Askari wao wa Kulinda Amani mara kadhaa huko Darfur wameuwawa ktk mtindo huo huo.
ReplyDeleteSikatai wao Jirani zetu kula njama na kuhusika, lakini kwa upande wa pili wa Sarafu inaweza kuwa hilo ni Tendo la hao Waasi wa Darfur.
UN pamoja na Mkubwa Ban Ki Moon,
ReplyDeleteTunashukuru kwa yote tuliotendewa sisi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Askari wetu kuuwawa huko Darfur chini ya Mwamvuli wa Ulinzi wa Amani.
Tunaomba mawili kutoka kwako ukiwa kama Katibu Mkuu wa UN:
1.Kwa kutokana na kujirudia tukio kama hilo la Walinda Amani kuuwawa, INGAWA SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA HAZITOI 'MANDATE' AMA MAMLAKA KWA MAJESHI YA AMANI KUJIBU MAPIGO AMA KSHIRIKI MAPIGANO ISIPOKUWA YAWE YANAWAKINGA MAKUNDI YA JAMII YA KIRAIA KAMA WATOTO, WANAWAKE,WAGONJWA NA WAZEE DHIDI YA MADHARA YA VITA,,,,,hapa,,,,, ((((SHERIA NA KANUNI IBADILIKE KIDOGO KWA KUWAPA 'MANDATE' AMA MAMLAKA WALINDA AMANI KUJIHAMI ENDAPO HALI YA KUSHAMBULIWA ITATOKEA)))).
2.Waliotenda tukio hilo watafutwe na lazima wapatikane pia WALETWE TANZANIA KUJA KUONANA NA MKONO WA SHERIA KWA KUWA MAHAKAMA YA WAHALIFU WA KIVITA TAYARI TUNAYO PALE ARUSHA-ICTR TENA INAYO TAMBULIKA NA HIYO HIYO UN-UMOJA WA MATAIFA YENU.
BAADA YA KUINGIZWA HATIANI, TUTAWAFUNGIA HAPA KWETU TANZANIA ILI WAENDE KWENYE MAGEREZA YETU YENYE ADHABU KALI SANA KAMA KUCHANA MBAO, KUVUNJA KOKOTO NA KULIMA.
HATUNA JINSI TUKAKAVYOPOZA MACHUNGU YETU KWA KUWA KIFO HAKINA MBADALA LAKINI KWA HAYO MAWILI ANGALAU TUTAKUWA TUMEFARIJIKA.
MUNGU ibariki Tanzania, tunawaombea ndugu zetu wapumzishe kwa amani,amani kama ambayo wamekufa kwa ajili ya kusaidia wengine kuipata.
ReplyDeleteAmen.
mdau wa kwanza unajua hali wanayolinda majeshi ya usalama Darfur?? usianze kuwapakaza Nchi za jirani...Jambo lakujiuliza , Taifa kama Taifa la Tanzana linafaidika nini kupeleka vikosi vyake huko Sudan???Na kiasi gani Wanajeshi wetu wanapewa ukilinganisha na Pesa zinazotolewa kwao???
ReplyDeleteHivi ni vita vya miaka mingi sio vya jana wala juzi....
Kaa na wanajeshi waulize wanapewa bei gani nakiasi kinachobakia kinaenda wapi???ushawahi kusikia pato lataifa limeingia kutoka "UNAMID"??
Poleni sana Familia za hawa wapendwa wetu, mashujaa wetu na makondo wetu....pole pia kwa sisi wote watanzania, maana ni msiba wetu wote.....hivyo tuungane kwa pamoja kwa kuwaenzi mashujaa hawa.
ReplyDelete- Lakini pia mimi najiuliza sana kwanini wamekufa wanajeshi wetu tu? Wakati kuna majeshi ya nchi mbalimbali, hili kweli lazima liangaliwe sana.
Lakini kwasasa basi tufikirie zaidi msiba huu mzito tulionao kwasasa. Narudia tena Poleni sana Familia za hawa mashujaa. Wamekufa kwaajili ya kutetea amani....Mwenyezi Mungu tayari amewapokea.
Kwanza natoa pole kwa wafiwa na maaskari waliokufa serikali kwanza itoe fidia kwa wafiwa pamoja na UN fidia hiyo nina maana pana ya kimantiki kuwa watoto au wake wa wafiwa waweze kuendelea kupata huduma za msingi.
ReplyDeleteTufahamu kuwa UN inatoa dola nyingi sana kwa kila askari mlinda amani na kutokana na UFISADI wa KIMFUMO hili deal kubwa la kutajirika kwa viongozi wetu.Kwao kufa kwa askari siyo tatizo sana mishipa ya utu na ubinadamu imeshakufa kwani kuna mamilioni ya watanzania wanakufa kila siku kutokana na kukosa tiba stahiki za huduma za afya.
Tusiwe pia wepesi wa kuhisi mahuaji hayo yalipangwa tujue kuwa hawa wanajeshi wapo katika kulinda amani katika nchi yenye vita kwa hiyo kufa katika nchi yenye vita ni matokeo ya vita.
Kama wanaua wananchi wao washindwe vipi kuwaua wageni!!Hawa wanapigana kwa kila upande kuona mwenzie ana kosa kwa hiyo wanajeshi wetu walinda amani wanaweza kuwa maadui kwa pande zote hasa pale wao wanapotaka amani wakati labda upande fulani unataka kulipiza kisasi!!
RIP TZ HEROES
ReplyDelete