Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka akifungua Mkutano Mkuu wa tano wa wadau wa mfuko huo ulifanyika jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa GEPF, Daudi Msangi akifafanua jambo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa tano wa Mwaka wa wadau wa Mfuko wa akiba ya Wafanyakazi Serikalini (GEPF), jijini Arusha.
 Mkurugenzi Masoko na Uendeshaji wa GEPF, Anselim Peter akitoa mada.
 Mkurugenzi Mkuu wa PPF, Wiliam Erio akifuatilia mada wakati wa mkutano huo. 
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka akimsikili kwa makini Meneja Masoko na Utekeleza wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini (GEPF), Aloyce Ntukamazina mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa tano wa wadau wa mfuko huo ulifanyika jijini Arusha. 

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mikausho MikaliJuly 02, 2013

    Naufagilia sana mfuko huu.Hauna mizengwe kwenye shughuli zake

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2013

    kwani ni mfuko upi unamizengwe? labda wa kijijini kwenu. yote poa tu tena ppf ni zaidi basi kwa taarifa yako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...