Mshambuliaji Machachari wa timu ya Taifa (Taifa Stars),Amri Kiemba (kushoto) akijaribu kutana kuwatoka mabeki wa timu ya Uganda ( The Cranes) katika mchezo wa kuwania tiketi ya kucheza mashindano ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN),unaochezwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Dakika 45 za mchezo zimemalizika hivi punde huku timu zote zikiwa hazijaliona lango la mwenzake.endelea kufuatilia Libeneke la Globu ya Jamii kwa Matukio mbali mbali ya mtanange huu.
Home
Unlabelled
Mtanange wa Taifa Stars na Uganda unaopigwa hivi sasa uwanja wa Taifa jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kufungwa kubaya sana wajameni!
ReplyDeleteYaani Jezi yetu ilivyo kuwa na rangi nzuri na za kuvutia Blues na green lakini ndio sisi mpaka mbele za wala Matoke na Mihogo kwa Mchuzi wa Karanga Waganda ndio sisi Vibonde?