Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick M. Werema akimkabidhi zawadi Rais wa Mahakama ya Rufani ya Ushelisheli Mh. jaji Francis MacGregor wakati alipomkaribisha ofisini kwake jijini Dar-es-salaam.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick M. Werema na Rais wa Mahakama ya Rufani ya Ushelisheli Mh. Jaji Francis MacGregor kwenye picha ya pamoja na viongozi wa ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...